Wednesday, June 18, 2014

TAZAMA RAMANI TANZANIA FESTIVAL.

   
Uongozi na  timu  yote  ya Tazama Ramani Tanzania inayoendeshwa na kusimamiwa  kwa weledi mkubwa  wa Chuo cha utalii  Udzungwa  Mjini  Moshi, Kilimanjaro habari
njema na nzuri  umma  wote wa  Watanzania watalii wa ndani  popote  pale  walipo nchini  ya kwamba  tutazindua TAMASHA LETU MAALUMU  LA  UELIMISHAJI, UHAMASISHAJI NA UWEZESHAJI  UMMA  WA WATANZANIA  WATALII WA NDANI  TAREHE 9/12/2014  BOMA NG’OMBE WILAYANI HAI. TAMASHA   HILI LITAJULIKANA  KAMA “TAZAMA   RAMANI TANZANIA  FESTIVAL” KWA  MAELEZO  ZAIDI  YA  USHIRIKI  TAZAMA TOVUTI YETU YA
        TAZAMA RAMANI TANZANIA - TAZAMA  RAMANI  TANZANIA FESTIVAL.
Imetengenezwa na Fortune Media Work | Team Fortune