Thursday, July 3, 2014

Fastjet na Expedia zawekeana saini

 Fastjet na  Expedia  zawekeana  saini za Makatba wa Ushirikiano na   Expedia..
moja ya
makampuni makubwa  duniani yanayojishughulisha na mtandao wa mawasiliano katika
sekta ya utalii  kwa  malengo ya  utoaji  na  usambazaji  wa taarifa  za matembezi  na
utalii  kwa watalii. 
 Chanzo  (source)  Tazama  Ramani Tanzania  magazine.


Imetengenezwa na Fortune Media Work | Team Fortune